TyDiQA1.0

The Typologically Different Question Answering Dataset

Predictions

Scores

Nancy Sumari

The Typologically Different Question Answering Dataset

 Nancy Abraham Sumari alikuwa Mrembo wa Tanzania kwa mwaka 2005 na pia alikuwa Mrembo wa Dunia wa Afrika kwa mwaka 2005.  Nancy Sumari alizaliwa tar. 7 Agosti mwaka 1986 mkoani Arusha Tanzania, na kupata elimu yake ya msingi mjini Nairobi, Kenya katika shule ya msingi ya Blue Bells. Baadaye kuingia elimu ya Sekondari ya wanawake ya Maasai ya huko huko Nairobi’NBO’ na kuhitimu mwaka 2004 na baadae kujiunga na Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam akisomea masuala ya utawala wa biashara .

Nancy Abraham Sumari alizaliwa mkoa gani?

  • Ground Truth Answers: ArushaArushaArusha

  • Prediction: